Hapo siyo issue ya Wangoni mkuu, hii ni issue ya Elimu yetu. Ina maana watu woote wafanyakazi wa Halmashauri ya mji wa Songea na wakojoaji wengi hakuna hata mmoja aliyeona hii lugha? Najua halmashauri ya Songea ina wafanyakazi toka sehemu mbalimbali za TZ. Elimu yetu ni majanga.