Wakuu,
Kwa wale wataalamu wa masuala ya kodi naomba kuelimishwa je ni mfanyabiashara wa aina gani anapaswa kulipa VAT tra?
Mfano: mfanya biashara anaesupply chakula shuleni kwa mtaji wa milioni 2 na risit anatoa za efd na Hana kampuni amesajili business name tu halmashauri, je baada ya kulipwa anastahili kulipa VAT tra?