Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Pengine unaenda kulipa kodi kwa mara yako ya kwanza. Acha nikueleze. Tatizo la network TRA sio la leo na hii kodi ya vibanda.System lazima itakuwa down. Kumbuka ni nchi nzima. Bandwith imekuwa ndogo. Mzigo ni mkubwa.
Tujifunze kulipa kwa wakati. Late comers ni 80% ya wateja ( ref: consumer behavior)
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Kutishana kwingi sana kwa sasa! Yaani mpaka twashangaa...Kukomoana huko, sheria gani ya faini ya mara 5? Penalties za late payment haziendagi zaidi ya 30%
sio vizuri kabisa..tunapotezeana mudaAkili zetu zimeganda mkuu, hatupendi ku simplify issues, tumezoea makatarasi na kupenda kukutana uso kwa uso!
Kweli mkuu,nami mwanzo nilidhani ni lazima kulipia katika ofisi ya TRA kwenye zone yako,nilisota kwenye foleni siku nzima in vain,nilipozinduliwa siku iliyofuata nikaenda ofisi ya TRA pale shekilango na Morogoro Road,ilinichukua dk kumi tu kutoka na risiti yangu ya malipo,tena wamejipanga vizuri sana,pale kuna options mbili;either uchukue bill yako ukalipie bank kwa wakati wako au kama pesa ipo unachukua bill na kulipia pale pale ofisini.Watu wanapenda kujaza mahali pamoja...hiyo kodi unaweza lipa tawi lolote TRA
Kwa baadhi ya ofisi unalipia papo hapo kwenye ofisi za TRA au unachukua bill na kwenda kulipia bank nadhani ndani ya siku saba.mfano ni ile ofisi ya TRA kando ya morogoro road upande wa kushoto kabla hujakunja kuingia shekilango Road.Kwa kweli nawapa hongera sana,kwani wamejipanga vizuri kwa kazi.Malipo yote yanafanyika bank kinachofanyika ni mtu kwenda kuchukua bill yake na kwenda bank kulipia. hiyo bill ina contro namba ambayo inatumika kulink kati ya TRA na Commercial bank
Kuna baadhi ya ofisi za TRA wameongea na bank walete mtu wao wa kupokea pesa za walipa kodi ya majengo ili kupunguza msongamano.Kwa baadhi ya ofisi unalipia papo hapo kwenye ofisi za TRA au unachukua bill na kwenda kulipia bank nadhani ndani ya siku saba.mfano ni ile ofisi ya TRA kando ya morogoro road upande wa kushoto kabla hujakunja kuingia shekilango Road.Kwa kweli nawapa hongera sana,kwani wamejipanga vizuri kwa kazi.
Huo Ufumbuzi.WAMESHINDWA KUWEKA HATA MFUMO WA ONLINE AU BENKI AU KULIPIA KWA SIMU???
Interesting kwa kweli
Hii nchi kila mtu hukurupuka kivyakevyake tu. Watu wanaacha kazi za maendeleo na kushinda kutwa nzima ofisi za TRA. Mara uambiwe mtandao hakuna, mara hujakamilisha kitu fulani, ili mradi vurugu tu. Uchumi wa kati tutafika kweli!Kwani TRA hawana account bank? Kwa nini watu wasilipie kwenye bank zao kuliko wanavyofanya sasa. Mambo ya kupanga foleni ni mtindo wa kihovyo sana. Mnakuja na matamko suluhu hamna. Property Tax lilipashwa iwepo kitambooo utaratibu ulipashwa uanzie Ardhi sasa hii kukurukakara inaumiza wengi.
Mwee umerudia point zilizozuia Bunge live. Sasa tunapoteza muda wa uzalishaji huku TRA. Maajabu hayaHii nchi kila mtu hukurupuka kivyakevyake tu. Watu wanaacha kazi za maendeleo na kushinda kutwa nzima ofisi za TRA. Mara uambiwe mtandao hakuna, mara hujakamilisha kitu fulani, ili mradi vurugu tu. Uchumi wa kati tutafika kweli!
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Kwani TRA hawana account bank? Kwa nini watu wasilipie kwenye bank zao kuliko wanavyofanya sasa. Mambo ya kupanga foleni ni mtindo wa kihovyo sana. Mnakuja na matamko suluhu hamna. Property Tax lilipashwa iwepo kitambooo utaratibu ulipashwa uanzie Ardhi sasa hii kukurukakara inaumiza wengi.
Huu ni ujima..........Iko hivi unaenda TRA na risiti zako za nyuma ulizokuwa unalipia manispaa (kwenye kata yako) unampa mhusika pale TRA anaangalia kwenye system yao kama jina lako lipo wanaku printia karatasi ya bili yako; kama jina haliko kwenye system wanakuingiza saa hiyohiyo (utaulizwa jina kamili, mtaa unaoishi, na.ya nyumba, TIN no. yako etc). Sasa ukishapewa hiyo karatasi ya bili yako unaenda bank au Max malipo unalipa halafu unarudi tena na unawaachia nakala yao (pay slip) nawe unaenda zako.
Niliwauliza why wameamua ku centralize hili zoezi kwenye regional/District offices wakanijubu kwamba once wakishaingiza watu wote kwenye data base then next year malipo yatafanyika huko huko bank au Maxmalipo.
Heri kulipa hiyo faini, kuliko adha hii aise, kwani mara tano ya elfu kumi si elfu hamsini tu!?Utalipa na faini ambayo ni mara tano ya ulichotakiwa kulipa.
Ishu sio kulipa. Unaenda serikali ya mtaa Unachukua form ya malipo, inaonyesha kiwango cha kulipa unaenda unalipia banks za biashara kama crdb, nmb na nyinginezo za biashara, ukishamaliza kulipa unaenda TRA office [emoji539] na zile forms za malipo kutoka banks pale ndio kuna foleni la kufa mtu.WAMESHINDWA KUWEKA HATA MFUMO WA ONLINE AU BENKI AU KULIPIA KWA SIMU???
Interesting kwa kweli
Kama upo sehemu ya mjini jiandae, nyumba yako kuvunjwa kama alivyofanyiwa Mh. MBOWE kutoka Chama cha UFIPAHebu jamani naombeni ufafanuzi.... Hii kodi analipa nani, na wa sehemu gani na kwa kipindi gani?? Ni Kama nilipitwa hivi.