Kodi ya line za simu

Wahivihivi

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Hivi jamani watanzani tunakwenda wapi kodi ya line za simu itatusaidia nini wakati vyanzo vikubwa vya mapata kama bandari vimejaa zegwe na sasa nchi zisizo na bandari zinatukimbia tunabaki kulazisha watu walipe kodi zisizo eleweka maana yake ni nini.
 
Viongozi kukosa uadilifu na uwajibikaji katika kuwatumikia wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…