Kodi tunayolipishwa inafanya kazi gani?

lnspector CP

Member
Apr 28, 2016
76
30
Habari,
Mmi ni muajiriwa kwenye shirika binafsi(serikali inanitoza kodi),pia ni mfanya biashara mdogo(nako nalipa kodi);sasa soma huu mchezo

Nilipoteza kitambulisho cha kazi ilinibidi nilipoti police,police wakanipiga karenda kwa kuwa wino wa kuandikia barua umeisha na muundaaji barua hayupo,muda huo na TRA hawachoki kuja dukani kwangu maana nilikuwabado cjalipia reseni ya biashara

Ilifika siku nikalipia reseni na kesho yake nikaenda kituoni kufuatilia ile habari ya barua ya upotevu wa kitambulisho cha kazi.Keli barua nilipata ila jamaa akanambia nimtoe japo kidigo(ya wino),hapo ndipo nikakumbuka pesa ninazotoa kwa ajili ya kodi.

Je unajua ni nni kimetokea?,ungekuwa wewe ungemwambia nni?
 
Back
Top Bottom