AiseeeeSi tulikubaliana akizidiwa anampigia simu ZIDANE?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Teh teh teh Okwi Boban Sunzu anakuyaHamna kocha hapo bali mhuni mmoja tu wa ulaya anaevalia barakoa begani.
Hakuna kocha paleNaandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora...
Teh teh teh Okwi Boban Sunzu anakuya.Hamna kocha hapo bali mhuni mmoja tu wa ulaya anaevalia barakoa begani.
Hili la kupanic linamwondolea utulivu wa nafsi na kusababisha afanye maamuzi ya kukurupuka. Leo ghafla tunashtuka timu ina washambuliaji 4 kiungo 1Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora...
Hakika ulichoandika ni kweli, Kocha badala ya kutulia yeye ndiyo alikuwa amepanic vibaya, kazi ikawa kwa Matola kujaribu kumtuliza lakini wapi? Sababu kubwa ya kupoteza mechi ile ni Pablo, aliwaongezea pressure wachezajiNaandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.
Nashangaa pamoja na "li CV" likubwa tuliloaminishwa kuwa Pablo analo lakini anashindwa kutambua kwamba pamoja na mbinu mbalimbali kocha anapaswa kuwa msaada katika kuituliza timu Mambo yanapokuwa magum uwanjani.
Kocha Pablo timu yake ikiwa katika wakati mgum , basi yeye badala ya kutulia kuusoma mchezo amekuwa wa Kwanza kupanik na kuwa na pressure isiyo na msingi.
Kwa mfano kipigo cha Leo kutoka Mbeya City limechangiwa na kocha Pablo kukosa msaada na plan B ,pia badala ya kuituliza timu ameipanikisha na kuipotezea umakini , huku akiiongezea presha.
Hivi ni kweli Simba walimuona Pablo akifundisha Real Madrid au walisimuliwa tu na wachambuzi wa mchongo?
Huu ushabiki maandazi sasa, yaani kufungwa mechi moja tayari kocha hafai. Ingawa nakubaliana nawe kuwa ana tatizo la kuhamaki hovyo, lakini tuache kulalamika timu inapofungwa. Kumbuka huchezi na miti uwanjani bali na watu kama wewe.Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.
Nashangaa pamoja na "li CV" likubwa tuliloaminishwa kuwa Pablo analo lakini anashindwa kutambua kwamba pamoja na mbinu mbalimbali kocha anapaswa kuwa msaada katika kuituliza timu Mambo yanapokuwa magum uwanjani.
Kocha Pablo timu yake ikiwa katika wakati mgum , basi yeye badala ya kutulia kuusoma mchezo amekuwa wa Kwanza kupanik na kuwa na pressure isiyo na msingi.
Kwa mfano kipigo cha Leo kutoka Mbeya City limechangiwa na kocha Pablo kukosa msaada na plan B ,pia badala ya kuituliza timu ameipanikisha na kuipotezea umakini , huku akiiongezea presha.
Hivi ni kweli Simba walimuona Pablo akifundisha Real Madrid au walisimuliwa tu na wachambuzi wa mchongo?
Anakuya kubaelezea Bandeko!Teh teh teh Okwi Boban Sunzu anakuya
Sijasema kocha hafai , nmesema anatakiwa arud darasan kujifunza nafasi ya kocha pale ambapo timu ina wakati mgum uwanjani.Huu ushabiki maandazi sasa, yaani kufungwa mechi moja tayari kocha hafai. Ingawa nakubaliana nawe kuwa ana tatizo la kuhamaki hovyo, lakini tuache kulalamika timu inapofungwa. Kumbuka huchezi na miti uwanjani bali na watu kama wewe.