Kocha Mpya wa Simba

Hawa ndo makocha wenye hadhi ya kuifundisha thimba thipoti kilabu,wazungu mbwembwe tu.
 
Huyo akiwa kocha wa simba mbona wakiingia uwanjani simba wanaweza kufungwa magoli hata 150 kwamaana huyo kocha hana mpangilio kuanzia kwenye ubongo wake.
 
huyo jamaa sizani hata danadana anaweza kupiga. ila anastahili kuwa kocha wao mpaka watie adabu
 
Naona hapo kabla alikua ni mfanyakaz wa kiwanda cha mazulia mekundu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…