Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera adaiwa kugoma kurudi Bongo akidai malipo yake

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Baada ya kusemekana Kelvin Yondani, Dante na Juma Abdul kugomea mazoezi kisa kudai malimbikizo ya mishahara kuna taarifa za chini pia zinadai kocha mkuu Mwinyi Zahera naye ameweka mgomo wa kurudi Tanzania mpaka alipwe pesa zake.

Taarifa zinadai kuwa kocha Zahera msimu uliopita kuna pesa alikuwa anazitoa mfukoni kwake kwa ajili ya kuendesha timu kama vile kuisafirisha timu na posho za wachezaji
 
Baada ya kusemekana kelvin yondani, Dante na Juma Abdul kugomea mazoezi kisa kudai malimbikizo ya mishahara kuna taarifa za chini pia zinadai kocha mkuu mwinyi zahera naye ameweka mgomo wa kurudi Tanzania mpaka alipwe pesa zake.
Taarifa zinadai kuwa kocha zahera msimu uliopita kuna pesa alikuwa anazitoa mfukoni kwake kwa ajili ya kuendesha timu kama vile kuisafirisha timu na posho za wachezaji
Ilisemekana Zahera ni mmoja wa wafadhili wa wananchi
 
Hii timu imekaa ki ubabaishaji sana...waitishe harambee tena wachange ili walipe madeni....siku zote tunawaambia kuwa lazima wabadilishe mfumo mzima wa uendeshaji but wamekuwa wabishi...kwa kuwa wamechagua mfumo wa kuendesha timu kwa harambee na bakuli tuwatakie kila la kheri
 
Mikia mnajitia finger alafu mnanusa kwa kwa kwa
Mkuu itisheni tena harambee muchange hela mulipe madeni...pia andaeni kabisa mabakuli makubwa kwa ajili ya kukusanyia michango kama msimu uliopita...TIMU YA WANANCHI WAWEKEZAJI WANANCHI
 
zile za bakuli si alikua anazishika yeye au akilimali alipita nazo ??
chura wana tabu kelele wakati wa mvua tu
Waliziingiza kwenye account ya team hivo zikawa za wananchi directly hana maamuzi nazo, nae akaona isiwe tabu nakaa hapa kinchasa hadi nopewe changu.
 
Habari za chinichini zilizonifiki zinasema kwamba baada ya kusemekana kuwa Kelvin Yondani, Endrew Vicent 'Dante' pamoja na Juma Abdul, kugomea mazoezi kisa kudai malikimbikizo ya mishahara yao, Bundi ameanza kutanda mitaa ya Twiga na Jangwani kwani kuna taarifa za chinichini zinadai kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Mwinyi Zahera naye ameweka mgomo wa kurudi Tanzania mpaka alipwe pesa zake.

Taarifa zinadai kuwa kocha Zahera, wakati akiifundisha Yanga kwa msimu uliomalizika, 2018-19, kuna baadhi ya gharama alikuwa akizitoa kwenye timu, kama vile kuisafirisha timu, posho za wachezaji na mambo mengine.

Chanzo Taarifa: Shaffih Dauda na Mtandao wake pia

Mmetutisha tisha hapa sijui na Harambee yenu ya KUBWA LAO huku mkasema kuwa mmekusanya karibia Bilioni 1 na Nusu hatimaye sasa ukweli wa mambo na hali Halisi ya Shida, Njaa na Umasikini unajidhihiri na Watu ( wana Yanga mnaumbuka )

Na hakyanani kwa Maandalizi ya Simba SC na kwa aina ya Kikosi Kipana na kilichosheheni Mafundi watupu wa Mpira cha Simba Sports Club kuna uwekano mkubwa kwa Msimu mpya ( Ujao ) wa Ligi Simba SC ikawa Bingwa ikiwa imebakiza Mechi 11, haitofungwa na Timu yoyote na kuna Klabu Pinzani na Simba SC isipokuwa Makini kuna uwezekano Mechi ya Kwanza wakapigwa Goli 9 na Mechi ya Pili wakapigwa hata 13 kisha wakatafutana huko katika Bwawa lao Kuu la Kuogelea Binadamu, Chura, Bata na Samaki.

Kwa aina ya Mazoezi niliyoyaona ama hakika hawa Wabrazil Watatu watakuwa wanatufanya wana Simba SC kila mara tuwe tunatapika ( tunashangilia ) tu Majukwaani kwa furaha tele kwani wanaupiga mwingi hadi wanakera na nawatabiria akina Kagere na Boko hadi Ajib kuwa watakuwa wanafunga Magoli hadi watanuna kama si Kuchukia kwa aina ya Pasi mpenyezo za hawa Wabrazili Watatu Kikosini.

Asante Mo Dewji.
 
hakianani yanga mkijidai kuendekeza michezo ya kuwafurahishwa wanywa kahawa wa karikoo mtateseka saana!! mpira siku hizi ni hela wala sio magazetini
 
Hivi toka ile harambee ya kubwa kuliko wale jamaa wa "hiyo pesa tuma kwenye namba hii hawapo kabisa" sasa sijui ile harambee ina mahusiano na wale jamaa.
 
Agome Zahera na wachezaji wake akasirike mjinga mmoja.Lipeni haki za watu.Hamna Free lunch mjini.
 
Zahera atarudi, kulikuwa na mgogoro na viongozi wa yanga kina Dkt msolwa walikuwa hawamtaki! Yanga kimataifa inaweza kuzingua sana
 
yanga tunamwita mzee kilomoni alete hati za simba kisha tunamuuzia manji
hao waliogoma mazoezi dawa yao ni kuwafungia tuuu
 
Back
Top Bottom