Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 13, 2015 #1 Kocha alikula bonge la mweleka baada ya kupigwa na mpira wa nguvu wakati beki wake akiondosha hatari. Ilikuwa ni mechi ya Serie A kati ya timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa
Kocha alikula bonge la mweleka baada ya kupigwa na mpira wa nguvu wakati beki wake akiondosha hatari. Ilikuwa ni mechi ya Serie A kati ya timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 Jan 13, 2015 #2 Ha ha ha ingekuwa bongo huyo beki angeozea benchi...
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 13, 2015 Thread starter #3 umenikumbusha Garincha wa Simba aliyeapiwa na Ndolanga
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 13, 2015 Thread starter #4 muhomakilo jr said: Ha ha ha ingekuwa bongo huyo beki angeozea benchi... Click to expand... kwa suruali za bongo angemwaga radhi
muhomakilo jr said: Ha ha ha ingekuwa bongo huyo beki angeozea benchi... Click to expand... kwa suruali za bongo angemwaga radhi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 14, 2015 Thread starter #5 kama mnawajua wanae waje wamuokote wajomba
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jan 14, 2015 #6 Anaitwa nani vile?
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 301 Jan 14, 2015 #7 Ni roberto Manchini, yule kocha wa zaman wa Man city. Niliona hghlights juzi
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jan 14, 2015 #8 Gwangambo said: Anaitwa nani vile? Click to expand... Mancini