KMKM 0 - 5 Simba

KMKM 0 - 5 Simba

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Jana katika uwanja wa Aaman uliopo hapa Zanzibar, timu ya Simba Sc iliweza kuwafundisha soka maafande wa KMKM kwa kuwafunga goli 5 kwa bila. Magoli ya Simba Sc yalifungwa na Amis Tambe (2), Shaaban Kisiga 'marlone', Amri Kiemba na Elius Maguri.
Pamoja na soka safi la kitabuni lililooneshwa na Simba Sc, kivutio kingine alikuwa ni mshambuliaji machachari Okwi aliyetambulishwa siku ya jana, japo hakucheza. Ikumbukwe siku ya jumatano timu ya Yanga walipata ushindi wa taaabu sana wa goli 2-0 mbele ya KMKM.
 
Matokeo mazuri.Maandalizi mazuri.

Angalizo:Isije ikawa nguvu ya soda kama ya Man U wakati "preseason".

Hata hivyo: Go Simba.Go Man U....
 
Matokeo mazuri.Maandalizi mazuri.

Angalizo:Isije ikawa nguvu ya soda kama ya Man U wakati "preseason".

Hata hivyo: Go Simba.Go Man U....

Hii kasi ndo mpaka ligi kuu, wapinzani wajiandae tu.
 
simba wanatangaza matangazo ya biashara takukuru haipo zanzibar
 
Back
Top Bottom