Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,020
- 26,194
Wapo wengi wanataka kuja ila wakirudi kwao wanawekwa karantini siku 14, ndio wamekatisha safari, tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chiniAbiria hakuna kuna
...its coastful? Duh....and its coastful.
This is bad news for Tanzania also....
Yes, we have prepared and invested!...its coastful? Duh.
.."its coastful..." Ha ha ha, Yaani bado tu huoni?Yes, we have prepared and invested!
Mind you, Kigwa na msafara wake walikwenda KIA kupokea ndege yenye watu 10, kati ya hao 8 ni watanzania waliokuwa wamekwama ulaya na 2 ni wazungu madalali wa utalii
Wajinga wanadhani kuruhusu watalii waje bila tahadhali ndiyo kuwavutia.Wapo wengi wanataka kuja ila wakirudi kwao wanawekwa karantini siku 14, ndio wamekatisha safari, tuendelee kunywa mtori, nyama zipo chini
Utakufa kwa upumbavu wa wachache, si wote, na hata ukiangalia UNDP wana predict kuanzia december ndio utalii utaanza tenaWajinga wanadhani kuruhusu watalii waje bila tahadhali ndiyo kuwavutia.
Wamesahau suala zima la covid19 tumekikoroga mno. Nani aje hapa ili akawekwe karantini kwao?
Uwezekano wa kubeba virusi ni 100% kwa Tanzania.
Utalii unaenda kufa.
Hujamwelewa, huyo ni mwalimu anasahihisha insha yako.Yes, we have prepared and invested!
Mind you, Kigwa na msafara wake walikwenda KIA kupokea ndege yenye watu 10, kati ya hao 8 ni watanzania waliokuwa wamekwama ulaya na 2 ni wazungu madalali wa utalii
Acha ufe!Wajinga wanadhani kuruhusu watalii waje bila tahadhali ndiyo kuwavutia.
Wamesahau suala zima la covid19 tumekikoroga mno. Nani aje hapa ili akawekwe karantini kwao?
Uwezekano wa kubeba virusi ni 100% kwa Tanzania.
Utalii unaenda kufa.
Tunauhitaji ila si kwa ushamba huu, lakini hata ukija wanafaidi wachache, hebu niambie JIWE anachukua milioni 10 anagawa barabarani Cash, fedha za watanzania wote, its unfair, haisemwi imetoka wapi?Acha ufe!