Kuna clinic ipo karibu na traffick makao makuu...inaitwa IDC.....ukifika mitaa ya stesheni ulizia traffic makao makuu ukiwa hapo traffic ulizia kituo cha afya ni jirani kabisa...kwa nini uende private kulipia wakati dawa ni bure....nilikua mfanyakazi wa kituo hicho ila nimeondoka....but najua utapata huduma uwe na kadi yako tu.