HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
Tatizo ni Askofu Laizer amekaa madarakani muda mrefu sana almost more than 35 years !.
Hatimaye waumini 17 wachanga 2bn kunusuru mali ya KKKT isipigwe mnada.Hongereni sana kwa hilo.
Source;leo Magazetini redio one
Thomas Laizer yupo madarakani toka 1986. Huu ni mwaka wa 26 sasa. Alaf hakuna kitu kama "almost more than..."
β ππππKwa hili la Meneja wa Corridor Spring kuwa mgeni tuache fikra mgando. Kama Corridor Spring ni kitega uchumi na kinaendeshwa kibiashara basi misingi ya biashara lazima iheshimike. Hili suala la Mtanzania Mtanzania halina tija. Wote tunafahamu uwezo na tabia zetu linapokuja suala la uwajibikaji.
Sea Cliff Hotel ilikuwa na Mkurugenzi Muingereza, na mameneja kadhaa Makaburu, hii yote ni suala la taaluma na kuchukua uzoefu wa huyo aliyetolewa mbali. Hata Taifa Starz ina kocha mgeni