uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,514 Reaction score 27,327 Mar 7, 2014 #1 Umepata kuiona movie inaitwa Lone survivor Kama we ni mpenzi wa movie based on true story hii itakufaa .je 2009(2012) Kama ni mpenzi wa movie na unajua kuangalia hii hutaichoka itafute kwa sasa.
Umepata kuiona movie inaitwa Lone survivor Kama we ni mpenzi wa movie based on true story hii itakufaa .je 2009(2012) Kama ni mpenzi wa movie na unajua kuangalia hii hutaichoka itafute kwa sasa.