heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,046
- 13,391
Hacha hofu. Huo ni ugonjwa wa hofu,hi wakuu Ninashida ya kizunguzungu isiyoisha na kujihis mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
yeah sure hofu ninayo kwasababu ya hiki kizunguzungu usingizi haujiHacha hofu. Huo ni ugonjwa wa hofu,
Ongeza seli shina zako zitakua pungufu au labda zimedumaa hazijizalishi kwa kipimo kinachohitajika. Tafuta bidha hii. NUTRB NA NURT6. hilo tatizo litaisha kabisa.hi wakuu Ninashida ya kizunguzungu isiyoisha na kujihis mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
shukraniOngeza seli shina zako zitakua pungufu au labda zimedumaa hazijizalishi kwa kipimo kinachohitajika. Tafuta bidha hii. NUTRB NA NURT6. hilo tatizo litaisha kabisa.
Mpigie daktari akiemtibia mwanangu 0714456020
shukrani
Hicho kizunguzungu unakipata hata kama umelala?damu ipo sawa pressure ipo okey, ni kizunguzungu, hofu, sleepless, kujihis mwepesii hali ovyo, kizunguzungu ni sana kichwa hakium sana
yes mpaka usingizi haujiHicho kizunguzungu unakipata hata kama umelala?
Kama jibu ni ndiyo uende hosipitali kubwa uonane na mtaalam wa masikio.
Hiko kizunguzungu kina kuwa kikali zaidi ukiwa kweny position ipi ?hi wakuu Ninashida ya kizunguzungu isiyoisha na kujihis mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
kipo muda wote hakipoi usingiz haujiHiko kizunguzungu kina kuwa kikali zaidi ukiwa kweny position ipi ?
Au kipo mda wote tu ?