Kizazi cha FDLR nchini Rwanda

Kizazi cha FDLR nchini Rwanda

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Abakobwa bajya kwiteza inda Muri FDLR!: Ubuhamya bwa Jean de Dieu wabaye muri FDLR , yakebuye abayobozi , ababwira ko hari abakobwa bava mu Rwanda bakajya muri FDLR kwiteza inda kugirango ingengabitekerezo yayo ikomeze kogera.


Wanawake wakitaka kubemba mimba, huenda kukutana na wanamgambo wa FDLR:

Huu ni ushahidi wa bwana Jean de Dieu, aliewahi kuwa mmoja wa waasi wa FDLR, akihimiza viongozi kuwa makini, kwa sababu kuna wanawake bado wanatoka Rwanda na kuwafuata wanamgambo hao wa FRLD nchini Congo, ili wawazalie(wabebe mimba zao).
Hii inaashilia uwepo wa ubaguzi wa kikabila nchini Rwanda, kama bado kuna watu walio tayari kusafiri umbali mrefu,kuhakikisha wanazaa na watu wa kabila lao tu.
 
Back
Top Bottom