VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ni kizaazaa. Katika Barabara ya Morogoro sehemu ya Kongowe hadi Misugusugu. Kuna foleni ya ajabu sana...
TRA leo walikua kila mahala dsm sijui walikua wanakagua nini kwenye magari?
Ajali zitaisha vipi wakati hakuna elimu ya Usalama Barabarani kwa watembea kwa miguu, waendesha baiskeli, mikokoteni, pikipiki, bajaj na madereva vimeo kibao! Watu wanafanya biashara ndogo barabarani.Poleni kwa usumbufu huo wakuu. Sijui ajali zitaisha lini Tanzania au hata kupungua tu maana kumalizika si rahisi.