Kiwanja.

Kiwanja.

tian

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Posts
1,770
Reaction score
538
Naombeni ushauri,nitapata wapi kiwanja cha bei nafuu??mimi niko Dar es salaam

Je inawezekana kupata kiwanja cha TZS 2M?Kina ukubwa gani?

Mwenye taarifa anijulishe.
 
Sawa mkuu,nitakupigia.
 
Jamani huko si ndio serikali imebomoa huko au?mji mpya

Project iko Center mpaka Kibada, na maeneo mengine, hivyo viko nje ya huo mradi lakini ukitaka ambavyo viko Kigamboni center ambayo iko ndani ya mradi, vipo pia kuanzia milioni 3,6,8,12 hadi 50 kutokana na mahitaji yako.
Waliojenga katika maeneo yenye mradi watafidiwa na sio leo.
 
Naombeni ushauri,nitapata wapi kiwanja cha bei nafuu??mimi niko Dar es salaam

Je inawezekana kupata kiwanja cha TZS 2M?Kina ukubwa gani?

Mwenye taarifa anijulishe.

kuna ambavyo vinapatikana mpigi magohe, its like 8km from morogoro road. bei ni 1.5ml 20 kwa 20
 
kuna ambavyo vinapatikana mpigi magohe, its like 8km from morogoro road. bei ni 1.5ml 20 kwa 20

Nashukuru mkuu,ntafanyia kazi ushauri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom