Plot4Sale Kiwanja Tabata Mawenzi kinauzwa

birungi

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
391
16
Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa Tabata. Bei mil 11
Ukubwa ni 30*30
Huduma zote zipo maji na umeme.
Mita chache kutoka barabara kuu ya mawenzi.
*ardhi ina mchanga mwingi utapata was kujengea hapohapo
Hakina Dalali Mimi ni ndugu wa mmiliki
* kinauzwa kwa shida Luna mgonjwa anahitaji matibabu. Hivyo maongezi yapo na unaweza kulipa kwa awamu 2. Yani 70% then 30%

Serious buyer wasiliana na huyu 0753960601

IMG-20210114-WA0003.jpg
IMG-20210114-WA0006.jpg
 
Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa Tabata. Bei mil 11
Ukubwa ni 30*30
Huduma zote zipo maji na umeme.
Mita chache kutoka barabara kuu ya mawenzi.
*ardhi ina mchanga mwingi utapata was kujengea hapohapo
Hakina Dalali Mimi ni ndugu wa mmiliki
* kinauzwa kwa shida Luna mgonjwa anahitaji matibabu. Hivyo maongezi yapo na unaweza kulipa kwa awamu 2. Yani 70% then 30%

Serious buyer wasiliana na huyu 0753960601View attachment 1680057View attachment 1680056View attachment 1680058

Mkuu next time weka details za kutosha bila kuacha mswali.

Kiwanja ni skwata au kina mawe(surveyed).?
30*30 ni Mita au Hatua? Kama ni Miguu/Hatua je ni ya Mwala au ya Evodia Njelekela au ya Hasheem Thabeet?
Gari inafika hadi ndani ya kiwanja au gari ibabidi uipaki CCM?
 
Tabata Mawenzi ipi hasa boss? Ebu elekeza kutokea pale kituoni au kwenye ile bar kulia kabla ya kufika Highbury bar.

30*30 kwa milioni 11 maeneo hayo, ni muhimu kujua stori kamili pia, kuna mtu anauziwa 20*20 kwa 18m umbali wa zaidi ya km 30 toka city centre, hapo tbt ni kama 10 tu, anaweza badili mawazo
 
Ni Tabata mawenzi ya upande wa kushoto kama unatoka mjini. Mtaa wa amani kabla hujafika kanisa la mabati.
Karibu
 
Mkuu next time weka details za kutosha bila kuacha mswali.

Kiwanja ni skwata au kina mawe(surveyed).?
30*30 ni Mita au Hatua? Kama ni Miguu/Hatua je ni ya Mwala au ya Evodia Njelekela au ya Hasheem Thabeet?
Gari inafika hadi ndani ya kiwanja au gari ibabidi uipaki CCM?
Sawa nitafanyia kazi mawazo yako mkuu.
 
Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa Tabata. Bei mil 11
Ukubwa ni 30*30
Huduma zote zipo maji na umeme.
Mita chache kutoka barabara kuu ya mawenzi.
*ardhi ina mchanga mwingi utapata was kujengea hapohapo
Hakina Dalali Mimi ni ndugu wa mmiliki
* kinauzwa kwa shida Luna mgonjwa anahitaji matibabu. Hivyo maongezi yapo na unaweza kulipa kwa awamu 2. Yani 70% then 30%

Serious buyer wasiliana na huyu 0753960601

View attachment 1680056View attachment 1680058
Kaka chukua 6M tufanye biashara. Hali mbaya ukijumlisha na Corona kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom