Hivi kibaha kuna shopping mall? Ama kweli!Eneo hili liko Pangani - Kibaha Mji, jirani na ofisi za Mitamba, umbali wa kilomita 2.5 kutoka kituo cha mabasi cha Kibaha na Kibaha Shopping Mall, au kilomita 1 kutoka mnada maarufu wa mbuzi wa Jumamosi (Loliondo). Linapatikana kupitia barabara ya Tamco-Mapinga, ambayo ipo katika ujenzi wa kiwango cha lami, ikianzia shule ya Baobab hadi kituo cha mabasi cha Kibaha, njoo ulipie bei ileile ya serikali....6.5m. Unaweza lipia kwa awamu (Shikamoo Matatizo)
Ndio na wanadai eti imetumia billion 8 kweli ccm majiziHivi kibaha kuna shopping mall? Ama kweli!
Pangani ni 6km toka Loliondo.
Kula m5 mzeyaEneo hili liko Pangani - Kibaha Mji, jirani na ofisi za Mitamba, umbali wa kilomita 2.5 kutoka kituo cha mabasi cha Kibaha na Kibaha Shopping Mall, au kilomita 1 kutoka mnada maarufu wa mbuzi wa Jumamosi (Loliondo). Linapatikana kupitia barabara ya Tamco-Mapinga, ambayo ipo katika ujenzi wa kiwango cha lami, ikianzia shule ya Baobab hadi kituo cha mabasi cha Kibaha, njoo ulipie bei ileile ya serikali....6.5m. Unaweza lipia kwa awamu (Shikamoo Matatizo)
Mimi sipati faida yeyote, unanirudishia tu pesa yangu boss,Kula m5 mzeya
Weka picha basi tuone.Mimi sipati faida yeyote, unanirudishia tu pesa yangu boss,
Tuonane/wasiliane...Je HATI uko nayo mkononi?Ya WIZARANI?
Asante
KAZI ni kipimo cha utu
Kituo cha kushuka ukitokea DAR yani morogoro road?Tuonane/wasiliane...