Natafuta kiwanja sengerema mjini chenye angalau ujazo wa kati p (medium density) mwenye kufaham anaekiuza plz tuwasiliane kupitia +255 765 187 795 au kupitia munyetib@gmail.com
Kipo karibu na makazi ya watu, ila cjajua ni bujora ipi kwasababu siyo mwenyeji sana, ni viwanja vilivyouzwa kwenye mradi wa UTT, kipo jirani na viwanja vya national housing