kiwanja na nyumba madale kisauke

kiwanja na nyumba madale kisauke

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
ukubwa wa kiwanja ni 45*25
kiwanja kina nyumba mbili moja ni nyumba ya zamani
na nyingine haijakamilika bado kupauwa tuu
kiwanja kipo karibu na shule ya sekondari kisauke umbali wa mita 500toka barabara kuu au stand ya daladala madale
bei ni inaanzia mil 40 pia kuna maongezi au maelewano
kwa mawasiliano zaidi au kwa maongezi ya kupunguziwa bei namba za mwenye nyumbani
0754825693
0719980792
ImageUploadedByJamiiForums1412447369.411598.jpgImageUploadedByJamiiForums1412447446.593988.jpgImageUploadedByJamiiForums1412447609.291452.jpgImageUploadedByJamiiForums1412447742.524597.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom