amani peace
Member
- Oct 29, 2017
- 10
- 5
nane nane -tungi mkuuNgoja wahitaji waje
nane nane- Tungi mkuuKiko eneo gani?
Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini- Nanenane, kina offer sqm 690, maji, umeme vipo, kiko katikati ya makazi, kilometer 1 toka barabara kuu ya dar -moro, bei 15millioni, pia kuna tofali za mchanga 1000 na udongo 2000, mchanga lorry 1, hivi tunaweza zungumza tofauti
karibu ujipatie makazi, piga 0679815161
Kilometer moja toka Barabara kuu mkuu,tafadhali naomba nipm namba yakoUmbali gani kutoka Dar es salaam Road? Naomba na picha mkuu
Hiyo hapana mkuu,advantage ya hiki kiwanja, sio mbali na itakapojengwa station ya treni ya mwendo kasi,upande wa pili kuna eneo limetengwa kwa ajili ya bandari kavu na starcity (ile project unayoiona kabla ya kuingia nane nane,unatembea kwenda viwanja vya nane nane,kuna tofali,mchanga,ni makazi yaliyoendelezwa...Kwa bei hiyo nane nane bado bro, kama unapokea milioni saba cash... nitumie pm