escober JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 391 Reaction score 98 Oct 25, 2013 #1 Naulizia kwa mtu ambaye anauza kiwanja maeneo ya kitunda au sehemu jirani kama kivule,nyantira nk aniambie tufanye biashara. Kiwanja kiwe karibu na barabara na huduma zote za kijamii kama vile umeme ziwepo. asanteni
Naulizia kwa mtu ambaye anauza kiwanja maeneo ya kitunda au sehemu jirani kama kivule,nyantira nk aniambie tufanye biashara. Kiwanja kiwe karibu na barabara na huduma zote za kijamii kama vile umeme ziwepo. asanteni