Kiwanja kwa ajili ya kujenga shule kinauzwa

Kiwanja kwa ajili ya kujenga shule kinauzwa

Djumbe

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
39
Reaction score
62
Kiko Bunju KM 2 toka bagamoyo road, kina ukubwa wa heka 16, kina hati ya kujenga shule, bei ni ml 800
 
mimi nataka kujenga kituo cha mafuta. je kinaruhusiwa au mpaka iwe shule tu?
 
kina hati ya kujenga shule kwa sasa ila unaweza kubadilisha matumizi kama ukikipenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom