Chambuso2017
Member
- Feb 14, 2017
- 50
- 22
Kipo Madale Flamingo, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba (6.7M). Kwa maelezo zaidi nicheki PM.