Kiwanja kizuri chenye msingi kinauzwa

Kiwanja kizuri chenye msingi kinauzwa

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Wakuu heshima zenu,

Kile kiwanja nilichokuwa nakiuza, bado kipo hakijapata mteja, aliyesiriasi anipm, tuweze kuongea zaidi
 
tupe link ya hiyo thread yako tuone japo picha mkuu
 
Namimi nauza changu 15m kwa 25 m kipo ubungo Msewe shilingi 20 milioni
 
Wakuu heshima zenu,

Kile kiwanja nilichokuwa nakiuza, bado kipo hakijapata mteja, aliyesiriasi anipm, tuweze kuongea zaidi
Mkuu, ushauri wangu kwa uchache weka details zifuatazo:
1. Weka wazi ukubwa wa kiwanja na eneo specific kilipo (chanika ni kubwa!). Hii ni muhimu sana.
2. Je kiwanja kinafikika (kuna njia/barabara)?
3. Je kuna huduma muhimu karibu - maji, umeme nk?
5. Bei ya kuanzia ni kiasi gani?
6. Kwa nini unakiuza? Wewe ndiye mmiliki halali?

Ukiweza kuweka picha mbili tatu za eneo kwa kiasi kikubwa zinaweza kujibu baadhi ya hayo maswali. Nimeona threads zako nyingine kuhusu kiwanja hicho lakini bado hazina details za kutosha. Kila la heri.
 
Mkuu kwa kuwa mkweli, nakiuza kwasababu nimekwama, kipo karibu na barabara, kotekote, barabara kuu, na inayoingia huko,maji yapo ila ya vile visima vilivyochimbwa na kuwait foundation, sio ya dawasa, si unaijua dar, umeme haupo mbali, na sasa, wanatarajia kufikisha kabisa mana kulikuwa na kamati imeundwa kushughulikia hilo, ila sio mbali na mita kadhaa, ni kikubwa, ila sijui figure sahihi mana mi nipo mkoani na dada yangu ndo nilimtumia hela akanunua, na sikujali kuulizia, ila msingi nilisimamia mwenyewe, ni kikubwa sana tu.Kama mtu yupo serious tutapanga, halafu nikija, nakupeleka, mimi ndo mmiliki halali.Wala usihofu katika hilo.Kwa sasa nipo ofisini, sina picha hapa, ila nishawahi kuziweka, nipm namba nikupigie tuongee vizuri, bei ni 5800000, sitaki kufanya anasa
 
Wakuu mbona kmya, mwenye kutaka maelezo zaidi anipm namba zake, nimpigie, tuongee kwa kina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom