Hebu tupe size ya kiwanja na maelezo documents gani unazo tayari. kama una picha tuwekee tafadhali au ni pm.
kwa wale wa moshi sasa
Mimi nina m5 mkuu, sema kama uko tayari tumalize biashara leo leo!
dah mkuu upo chini sana
Kiwanja kina ekari moja kipo njia panda Moshi kando kando ( 30metres) ya barabara kuu kutoka Dar es Salaam/Arusha. Umeme na maji ya bomba vipo ni sehemu nzuri ya biashara kati ya miji midogo ya Himo, Holili, Njia panda, na Chekereni.kiwanja kimekwishapimwa na kinafaa kwa ujenzi wa petrol station, hospitali, shule, makazi n..k. mfanyabiashara wahi mapema ukanufaike na biashara na soko kuu la kimataifa litakalojengwa katika ukanda huo. BEI TSH 16M..
MAWASILIANO.
TUMA PRIVATE MESSAGE(PM) AU
0754466824.
Inakuwaje Godfey Mboya unauza ardhi kwa bei mbaya hivyo? Raisi alishatangaza acheni kuuza ardhi kwa kuwakomoa wateja.
Halafu ukishauza utuarifu tukukumbushe ukalipe kodi halali.
hahaha ni bei ya kawaida sana 15M inakutisha piga kazi sana itakusaidia.
mkuu mimi naishi holili hebu niambie kiwanja kipo wapi, ili nifikirie mara mbili
mkuu mimi naishi holili hebu niambie kiwanja kipo wapi, ili nifikirie mara mbili