Kiwanja kinauzwa_Makunganya Morogoro

May 9, 2017
5
2
Kina ofa, matumizi yake ni kujenga shule ya sekondari,
ingawa unaweza kubadili matumizi yake kufuatana na unavyotaka.
Ukubwa ni Sqm 51207 ni ekari 12. Kwa mawasiliano pigs 0754 319 861 na 0715 319 861
 
Mie nilinunua heka mbili kwa makunganya serikali Ikatunyang'anya sina Hamu na huko moro kwa makunganya
 
Makunganya???... Weka picha maana kuna mpango wa serikali upo hapa...weka picha na bei alafu nilinganishe na hii ya serikali....au unakimbia kulipia kodi maana wamesema hadi tarehe 30 June
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom