Kiwanja Kinauzwa

Kiwanja Kinauzwa

Magezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2008
Posts
3,359
Reaction score
703
Wakuu nauza kiwanja 600 seq. meter. Kiko Tuangoma kama unaelekea kigamboni na kina hati yake. Anayekihitaji ani PM
 
Rekebisha hapo kwenye cubic meters. Ni 600 sq.m. Cubic meter ni m*m*m ambayo ni volume na si area. Haya badilisha then ongea bei...!
 
Nakupa Offer ya Laki tatu...

Weka Picha basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom