Kiwanja Kinauzwa

Kiwanja Kinauzwa

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa.Bei 8m
0769 222 882
 

Attachments

  • 1417889061267.jpg
    1417889061267.jpg
    103.1 KB · Views: 710
  • 1417889096489.jpg
    1417889096489.jpg
    67.7 KB · Views: 668
  • 1417889124408.jpg
    1417889124408.jpg
    66.8 KB · Views: 656
  • 1417889150818.jpg
    1417889150818.jpg
    85.2 KB · Views: 658
  • 1417889231713.jpg
    1417889231713.jpg
    97 KB · Views: 649
  • 1417889271051.jpg
    1417889271051.jpg
    90.7 KB · Views: 642
Nina M9
Nakupa M5 first installment then 4M mwezi wa nne 2015
Nicheki 0758470876
 
Karibu kwa mwenye uhitaji Wa kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Ukubwa square mita 800, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa ila mchakato umeshanza tunapima wakazi Wa eneo kwa pamoja natumesha changa hela kwa hatua ya awali. BEI milioni 12.
0769 222 882
Pia twaweza zungumza kwa wale wa sqr mita 400.

Salasala ipo wilaya gani, tufafanulie sie wakuja.
 
mbona kuna maelzo ya square meta 800 na 400 upi ukubwa sahihi wa eneo hili? tafadhali tujulishe na tutakupigia simu kwa utekelezaji
 
Mkuu weka picha ya kiwanja,maana hizo ulizoweka hazionyeshi kiwanja ni kipi unachouza,zungushia hata duara hiko kiwanja.
 
samAhani mkuu hilo eneo ni lako au we ni dalali? sababu ya kuuza eneo ni ipi?

Nilangu,sababu ninahitaji some cash haraka. Ndiyo maana bei iko nusu ya bei wanazouza wengine pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom