J jmwarusha New Member Joined Aug 21, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Nov 6, 2014 #1 Kiwanja kikubwa kipo Manispaa ya Shinyanga kimepakana na VETA upande wa Kaskazini. Bei 3.5m/= mazungumzo yapo
Kiwanja kikubwa kipo Manispaa ya Shinyanga kimepakana na VETA upande wa Kaskazini. Bei 3.5m/= mazungumzo yapo
T TOMNOTKAT JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 836 Reaction score 1,080 Nov 11, 2014 #2 Naomba basi ueleze vizuri Zaidi. Kiubwa, ndo square meter ngapi? Kinafaa kwa matumizi gani? Tupe physical address pia kama unayo, yaani mtaa, umbali na land marks muhimu, n.k. Asante.
Naomba basi ueleze vizuri Zaidi. Kiubwa, ndo square meter ngapi? Kinafaa kwa matumizi gani? Tupe physical address pia kama unayo, yaani mtaa, umbali na land marks muhimu, n.k. Asante.
K Kizungo Member Joined Nov 15, 2014 Posts 56 Reaction score 20 Nov 15, 2014 #3 Mimi nauza shamba ukubwa m. 90 kwa m. 30 lipo kata ya kisima Same mtaa wa majevu pembeni ya lami bei m. 6 maongezi yapo
Mimi nauza shamba ukubwa m. 90 kwa m. 30 lipo kata ya kisima Same mtaa wa majevu pembeni ya lami bei m. 6 maongezi yapo