Kiwanja kinauzwa maeneo ya Dar-Kongowe, lilikuwa shamba kubwa vikamekatwakatwa viwanja vya kujenga.
Bei ni maelewano. piga 0753820584.
Karibu.
Kongowe ipi? Kibaha au mbagala? Size ya kiwanja na bei?
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Dar-Kongowe, lilikuwa shamba kubwa vikamekatwakatwa viwanja vya kujenga.
Bei ni maelewano. piga 0753820584.
Karibu.
Ni Kongowe ya Mbagala, bei ni 2.4m, ruksa kulipa kwa hawamu mbili, size ni sq meter 25.
Wewe square meter 25 mbna ni kidogo sana sasa hicho kiwanja si mita 5 urefu na mita 5 upana si ndio 5*5=25
Ni Kongowe ya Mbagala, bei ni 2.4m, ruksa kulipa kwa hawamu mbili, size ni sq meter 25.