Kiwanja chenye ukubwa robo eka kinauzwa. Kiko Tegeta Salasala karibu na IPTL. Kiko kwenye eneo la utulivu.
Kina hati ya zawadi (Deed of Gift)
Chote ni TZS 50 Million. Nusu TZS 30 Million.
Kuna Servants Quarter yenye vyumba viwili na Varanda pamoja na shimo kubwa la choo.
Mawasiliano piga 0767/658/0786/0772 977330