kiwanja kinauzwa

kiwanja kinauzwa

saireal

Member
Joined
Oct 7, 2011
Posts
7
Reaction score
1
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 30m×25m. kiwanja kipo salasala njia ya kwenda kinzugi karibu na "mnanga bar". Bei ni million 95, aliye tayari ani PM.
 
kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 30m×25m. kiwanja kipo sala sala njia ya kwenda kinzudi karibu na "mnanga bar" bei ni million 95, aliye tayari ani PM

Mh, jamani!!!!!!!!
 
kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 30m×25m. kiwanja kipo sala sala njia ya kwenda kinzudi karibu na "mnanga bar" bei ni million 95, aliye tayari ani PM

Kaka, naona umekosea kuweka nukta hapo kwenye bei, 9.5mil,
 
jamani hata kama ni njaa, ila usionyeshe kuwa una njaa.mwingine alipost anauza kiwanja 15mx15m milion 7.5.huyu ndo kadhihirisha kuwa ana ukata kabisaa kwa kuweka 95m kwa kiwanja cha 30mx25m. tena nina uhakika hakijapimwa. wakati kigamboni. kwa ukubwa huo ambacho hakijapimwa wamekupiga bei sana 3m.

Mlivyoambiwa ardhi ni mali. sio ndio msitumie akili zenu ku reason, na ukumbuke hapo wewe ndo mwenye shida sio mnunuzi,kama tayari nina hiyo 95M. na natafuta kiwanja inamaana tayari nina plan. na trust me kwa aliye na 95M kwa ajili ya kununua kiwanja tu then plan zake hazifit kwenye kiwanja cha ukubwa huo.unless uniambie umegundua kuwa ni mgodi wa madini huo
 
Nchi inahitaji ceiling price ya ardhi/viwanja haraka kuliko ceiling price ya petrol tulionayo. Tanzania ardhi kubwa, haijapimwa, density ndogo ajabu bei zake ni juu kuliko baadhi ya nchi ulaya. Ajabu ni kwamba waziri yupo kila siku anaenda oficin huku watu wanauza sqm moja kwa 127,000. Si bure nchi ina laani hii
 
Mkuu nakuunga mkono kwa hili lakini wala usiwe na wasiwasi kwani Tanzania kwa sasa tuko kwenye burble na tunakoelekea kutakuwa na bust na bei zataanza kuwa reasonable. Angalia ofisi nyingi mjini kwenye hayo ma-high rise ni tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom