G GNA JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 246 Reaction score 72 Dec 28, 2013 #1 kiwanja kikubwa kinauzwa hatua 40 za miguu kwamwendo wa kawaida wa kutembea, kutoka barabara kuu(main road). Kipo vikindu Dar es salaam, bei ni Tsh.35 million, kwa maelezo zaidi piga namba hizi uongee na muhusika mwenyewe, 0716239212. Karibu sana.
kiwanja kikubwa kinauzwa hatua 40 za miguu kwamwendo wa kawaida wa kutembea, kutoka barabara kuu(main road). Kipo vikindu Dar es salaam, bei ni Tsh.35 million, kwa maelezo zaidi piga namba hizi uongee na muhusika mwenyewe, 0716239212. Karibu sana.
Mipangomingi JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,713 Reaction score 2,062 Dec 28, 2013 #2 Uffffffs, kumbe macho yangu yana makengeza. Unamaanisha acre 40 na kiko mtaa wa Mindu ndiyo maana kinauzwa mil. 35 siyo?
Uffffffs, kumbe macho yangu yana makengeza. Unamaanisha acre 40 na kiko mtaa wa Mindu ndiyo maana kinauzwa mil. 35 siyo?
ifweero JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 7,957 Reaction score 1,341 Apr 6, 2014 #3 Mipangomingi said: Uffffffs, kumbe macho yangu yana makengeza. Unamaanisha acre 40 na kiko mtaa wa Mindu ndiyo maana kinauzwa mil. 35 siyo? Click to expand... Mara ya mwisho kupima utaahira wako ni lini?
Mipangomingi said: Uffffffs, kumbe macho yangu yana makengeza. Unamaanisha acre 40 na kiko mtaa wa Mindu ndiyo maana kinauzwa mil. 35 siyo? Click to expand... Mara ya mwisho kupima utaahira wako ni lini?
Malunkwi JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 338 Reaction score 80 Apr 6, 2014 #4 Hatua 40 Vikindu m35? au m3.5?
J JOSE MOURINHO JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 231 Reaction score 74 Apr 6, 2014 #5 Toa maelezo yaliyokamilika ndugu. .hatua 40 sawa na 35 milioni?
willy frank Member Joined Mar 31, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Apr 7, 2014 #6 Kiwanja mm nauzwa kwa bei poa na kipo mbezi juu sehemu ya maramba mawili? Namba za mawiliano ni 0717081592
Kiwanja mm nauzwa kwa bei poa na kipo mbezi juu sehemu ya maramba mawili? Namba za mawiliano ni 0717081592
J jrutta Member Joined Apr 7, 2012 Posts 45 Reaction score 12 Apr 7, 2014 #7 kiwanja kiko maeneo ya VIANZI njia ya kwenda malale.Hatua 40 Kwa 30.kiko karibu na barabara.0713649555
kiwanja kiko maeneo ya VIANZI njia ya kwenda malale.Hatua 40 Kwa 30.kiko karibu na barabara.0713649555