Kiwanja kinauzwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
Kiwanja kipo bunju b kina ukubwa wa mita 35 kwa 40 umbali kutoka bagamoyo road ni mita 800 huduma za maji, umeme na barabara zipo, kiwanja kipo eneo zuri lilojengeka kwa mpangilio bei yake ni ml6.5 kwa anayehitaji contact 0714107215
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom