Yaani kaka yangu nitoke Chakwale huku Berega, Gairo nije kukiona ndio unipe bei kiongozi? Weka tu bei hapa iwe rahisi kwa watu kuamua mkuu, huku kwetu elfu 15 napata kiwanja na miti yote iliyomo ndani tena cha barabarani sasa nikija na hiyo picha kichwani mkuu si tutakwazana bure kisha!