kiwanja kinauzwa

gozo

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
458
85
Habari zenu wakuu..

Viwanja vinauzwa ukubwa wa 60*50 bei mil 6.5 na eka moja bei mil 15 vipo maeneo ya kiluvya kwa komba ni jirani kutoka barabarani(morogoro road) ni kama mwendo wa nusu saa kwa ukitembea kwa miguu au dakika kumi ukienda kwa pikipiki,maji yapo,umeme upo na barabara ni nzuri mpaka kufika eneo la kiwanja.

kwa mawasiliano piga 0715 369096..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom