Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

matella3

Member
Joined
Nov 24, 2015
Posts
88
Reaction score
63
Kiwanja kinauzwa kipo Arusha Engo shelaton, ukubwa 12 kwa 20. Bei 5.5m
 
Mkuu labd
Mbona unatoa maelezo kwa wasiwasi, Engo naijua vizuri sana,
Sasa mkuu, kama unapafaham vzr eneo lenyewe limepakana na eneo ambalo alikuwa anamiliki mzungu siku za nyuma, ukitokea bàrabara ya Ungalmd ukifika zinakogeuzia Hiace za engo, unafuata hiyo barabara inayoelekea jalalani, kabla hujafika kwenye lami, unaingia kushoto kama mita 50, na kutoka kwenye lami ni kama mita 250. Karibu kiongozi ni eneo langu mwenyewe. Pia kuna punguzo kidogo kama uko serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom