Kiwanja Kinauzwa

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
466
Reaction score
467
-Kipo Mvuti-Dar
-Nauza kiwanja Mita 20×20
-maji yapo mita 20 kutoka kwenye kiwanja
-Umeme upo mita 20 pia
-upimaji shirikishi tayari

Bei mil 5. maelewano yapo
Nitafte kwa 0769353653
 
Mvuti ndo sehemu gani vile dar, andika well known jina la mtaa au kata
 
Kwa maeneo ya mvuti kwa hiyo bei uko juu sana mkuu
Meter 20*20 ( sqm 400) ni kiwanja finyu/kidogo
Mathalani kwa Maeneo ya karibu na mji kiwanja cha 20*20 kinauzwa kati ya 3.5 mpaka 5m

Kwa maoni na ushauri ili uuze
Hapo bei Fanya iwe kati ya 2m mpaka 2.5m.
Kila la kheri.
 
Nadhani mwenye kutoa tangazo atakuwa ni dalali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…