Samahani ndugu, kama ni Biashara ya kweli na unahitaji mnunuzi naomba radhi, nisamehe ndugu. Kuna makachero wengi sana humu wakijibandika kila aina ya kofia. Kila la kheri ktk kupata mnunuzi..samahani sana.
Kwanini sasa unatuambia kuhusu kiwanja? Ungeandika namba ya simu basi tukikupigia ndio uanze hayo maelezo ya waziri. Au waziriwa fedha ni moja ya kivutio?