Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Mavipakos

Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
16
Reaction score
11
Eneo: Kibaha kwa mfipa km 2.5 kutoka morogoro road

Ukubwa: 30*60 m

Bei: 8,000,000/=

Ni mali yangu sio dalali

PM tufanye biashara
 
Vipi kuhusu Huduma za jamii kama Maji, Umeme, n'a halijapakana n'a kambi ya jeshi ?
Umeme haujafika ila ndio wanapeleka nguzo, maji vipo visima vya watu binafsi, hakuna kambi ya jeshi karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom