S sternson mwakidunda Member Joined May 9, 2017 Posts 5 Reaction score 2 May 14, 2017 #1 Eneo morogoro makunganya, kimepimwa, kina ofa, ukubwa 51207 sq m. Ni kwa ajili kujenga shule sekondari. Kwa mawasiliano 0754319861, 0715319861
Eneo morogoro makunganya, kimepimwa, kina ofa, ukubwa 51207 sq m. Ni kwa ajili kujenga shule sekondari. Kwa mawasiliano 0754319861, 0715319861
schneider JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 770 Reaction score 646 May 14, 2017 #2 Yaani we muuzaji unampangia mteja kitu cha kufanya?
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 May 14, 2017 #3 badala ya kuandika mteja afanyie nini hicho kiwanja ungeandika bei yake tu
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,379 May 14, 2017 #4 schneider said: Yaani we muuzaji unampangia mteja kitu cha kufanya? Click to expand... Enny said: badala ya kuandika mteja afanyie nini hicho kiwanja ungeandika bei yake tu Click to expand... Kiwanja chenye hati kinakuwa kimeeleza kuwa hicho kiwanja ni residential au Commercial au cha huduma za kijamii km shule, hospital au nyumba za ibada, inawezekana sio kosa la muuzaji Shida kubwa ya muuzaji ni kutokuweka bei, sijui anaficha kitu gani
schneider said: Yaani we muuzaji unampangia mteja kitu cha kufanya? Click to expand... Enny said: badala ya kuandika mteja afanyie nini hicho kiwanja ungeandika bei yake tu Click to expand... Kiwanja chenye hati kinakuwa kimeeleza kuwa hicho kiwanja ni residential au Commercial au cha huduma za kijamii km shule, hospital au nyumba za ibada, inawezekana sio kosa la muuzaji Shida kubwa ya muuzaji ni kutokuweka bei, sijui anaficha kitu gani