Pia naogopa kukinunua hata kama bei ni ya chini.. Hii ya Anko Magu kutokuhudhuria sherehe za kupinduana... Nna mashaka na hatima ya haka kamuungano... Wazenji hamchelewi kutupindua wabara siku moja.
Ngoja nikasake shamba Mtipimbwi kule nimuunge mkono prezidaa kufanya kazi ya kilimo, hata kama hakuna mvua... Kitaeleweka tu.
Wapo kibao wanatokea " Tanganyika " na wanamiliki ardhi na nyumba, na wengine wapo serikalini ngazi za juu...ukiogopa kelele za mlango, hutolala.....Jirani zangu wanatokea bara na wamenunua nyumba na sasa wana mpango wa kununua shamba ili walime .....