kichwapanzi
Member
- Aug 30, 2016
- 50
- 23
Acha ujingaVp mkoani mnatuma
hakinaKina hati?
Duh,mbona bei kubwa sana mkuu?hakina
Mjohoron ni eneo la kia, eneo hilo huwa kwa ajili ya maendeleo ya baadae ya uwanja wa ndege wa kimataifa.Kiwanja kinauzwa maeneo ya mjohoron karibu na mosh mjin kabisaaa, kipo karibu na barabara kuu ya mosh dar, kinafaa kwa matumiz ya makazi au biashara au ufugaji bei mil 35 hakina dalali
size: 20 kwa 40
mawasiliano 0759124308
hapana sijazungumzia mjohoron ya huko hii ipo mbele ya majengo kama unaenda njia pandaMjohoron ni eneo la kia, eneo hilo huwa kwa ajili ya maendeleo ya baadae ya uwanja wa ndege wa kimataifa.