Kiwanja kinauzwa kipo ruvu kwa zoka kina ukubwa wa hatua 35 kwa 20, kinatosha kujenga servant's quarter.... Kuna umeme, shule, hospital na soko.. Pia ni karibu na barabara. Bei ni 4mil maelewano yapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.