DILA COSTER
Member
- Dec 11, 2019
- 6
- 2
Ninauza kiwanja million 22 nafungua majadiliano kwenye bei.
Kiwanja ni kikubwa kipo mtaa wa Kahama karibu na ofisi kuu za WILAYANI ILEMELA.
Urefu 65 na upana 60 na barabara inaingia mpaka kiwanjani. Kiwanja ni changu kimepimwa upimaji shilikishi.
Kiwanja hiki ni eneo zuri kwa SHULE, GUEST, HOTEL, na hata MAKAZI BINAFSI na kimezungukwa na nyumba za kisasa kimebakia katikati pekee hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari.
Kwa maelezo zaidi namba yangu ni hii muda wowote +255788067437
ASANTENI NA WOTE MNAKARIBISHWA