Milioni unachukua?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu nimenunua huko zaidi ya mwaka kwa bei zaidi ya hiyo.Ni sehemu nzuri hutajuta kupamiliki.
hujajibu swali mkuu. umeongea statement yako of truth
Mwenye hela anunue tu ardhi ni mali.
Kisemvule sehemu gani? Nahisi ni ukaribu na Shule ya Sekondari Vikindu au?Ni kweli!! nauza kwasababu ya Dharura tu!!
Kisemvule sehemu gani? Nahisi ni ukaribu na Shule ya Sekondari Vikindu au?
Kama ni eneo hilo ni very potential as Chuo cha Saut kitajengwa maeneo ya jirani na hilo eneo lako...Nisingekuwa na mambo mengine ya kufanya hata leo ningekutafuta.Wadau changamkieni biashara hiyoMkuu sifahamu ilipo hiyo shule maana si mwenyeji wa huko ila kiwanja kilipo unafika magari yanapogeuzia pale Kisemvule mjini (kama vituo vinne kutoka vikindu) then kuna njia karibu na hospitali ya wakatoliki unashuka nayo kama dk 10 tu kwa bodaboda au gari.Ni karibu na inapojengwa zahanati nyingine ya Kikatoliki.
Kama ni eneo hilo ni very potential as Chuo cha Saut kitajengwa maeneo ya jirani na hilo eneo lako...Nisingekuwa na mambo mengine ya kufanya hata leo ningekutafuta.Wadau changamkieni biashara hiyo