Kiwanja kina garage na sehemu yakuoshea magari, na nyumba ya kuishi yenye vyumba vya kulala viwili. Kiwanja kipo kinondoni studio. Kina barabara za mtaa mbele na nyuma, kina ukubwa wa mita za eneo 325, kina hati. Kinafaa kwa makazi Apartments au Hoteli yenye maduka chini. Ni kiwanja cha tatu kutoka barabara ya kawawa.